VIONGOZI WALIOSHIRIKI MAZISHI YA BABA YAKE DULLY SYKES YALIVYOFANYIKA JANA KWENYE MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR
Waziri Mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba akiweka udongo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiweka udongo katika kaburi la msanii mkongwe mzee Ebby Sykes.
Mbunge wa Chalinzi, Ridhiwani Kikwete akiweka udongo.
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akiweka udogo katika kaburi la mzee Ebby Sykes
Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu akiweka udongo katika kaburi la mzee Ebby Sykes.
Dully Sykes (wa pili kushoto) akiwa ndani ya kaburi la baba yake mzee Ebby Sykes wakati wa mazishi yake.
Ndugu na jama wakishiriki mazishi.
No comments:
Post a Comment