ujumbe wa Taasisi ya Kijerumani ya Hanns Seidel Foundation waitembelea Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb)
akiwakaribisha ofisini kwake Mkuu wa Taasisi
ya Ujerumani iitwayo Hanns Seidel
Foundation kwa Afrika na ukanda wa
Sahara Bw. Claus Liepert (wa pili kushoto) pamja na mwakilishi mkazi wa taasisi
hiyo hapa Tanzania Bi. Julia Gabler (wa kwanza kushoto).
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb)
akiwa katika mazungumzo na wawakilishi wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation Bi. Julia Gabler (wa kwanza kulia) na Bw. Claus
Liepert (wa pili kulia).
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb)
akifafanua jambo wakati wa mazungumzo na ujumbe wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation ulioongozwa na
Mkuu wa Afrika na Kanda ya Sahara Bw.
Claus Liepert.
Mkuu
wa Taasisi ya Hanns Seidel Foundation kwa Afrika na kanda ya Sahara Bw. Claus
Liepert akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi
wa Umma.
Mwakilishi
Mkazi wa Taasisi ya Hanns Seidel
Foundation Tanzania Bi. Julia Gabler (wa pili kushoto) akisaini kitabu
cha wageni alipotembelea Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb)
akiagana na ujumbe kutoka Taasisi ya Hanns
Seidel Foundation ulioongozwa na Bw. Claus Liepert (kulia) mara baada ya
kumaliza mazungumzo ofisini kwake.
No comments:
Post a Comment