Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Abbas Kandoro akizungumza na wateja pamoja na wafanyakazi wa Benki yaAccess
wakati alipokuwa mgeni rasmi katika sherehe za uzinduzi wa tawi la
benki hiyo jijini Mbeya mwishoni wa wiki iliyopita. Kulia ni Mkuu wa
Wilaya ya Mbeya, Mhe. Dk. Norman Sigallah King na kutoka kushoto
ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa Access Bank, Jonas Muganyizi Bisheko,
Meneja wa Mkoa wa Benki ya Access Mbeya, Emmanuel Venance na Mwakilishi
wa Benki ya Access kutoka Makao makuu jijini Dar es salaam, Sebastian
Gaissert.
Mwakilishi
wa Benki ya Access kutoka Makao makuu jijini Dar es salaam, Sebastian
Gaissert, akitoa hotuba yake katika sherehe za uzinduzi wa tawi la benki
hiyo mkoani Mbeya.
No comments:
Post a Comment