Header Ads

PICHA NA TAARIFA RASMI KUTOKA IKULU:RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA KANISA LA SEVENTH DAY ADVENTIST DUNIANI DKT TED N.C. WILSON IKULU


 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na kiongozi wa  Rais wa kanisa la Seventh DayAdventist (SDA) duniani, Dkt. Ted N.C. Wilson aliyemtembelea pamoja na ujumbe wake wa viongozim wa kanisa hilo kutoka nchi 11 za Afrika Ikulu Jumamosi February 7,2015, Usiku jijini Dar es salaam.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja baada ya mazungumzo na kupata chakula cha usiku na kiongozi wa  Rais wa kanisa la Seventh Day Adventist (SDA) duniani,  Dkt. Ted N.C. Wilson aliyemtembelea pamoja na ujumbe wake wa viongozi wa kanisa hilo kutoka nchi 11 za Afrika Jumamosi February 7, 2015, usiku Ikulu jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU

No comments:

Powered by Blogger.