Photos Ministry Of Foreign Affairs and International Cooperation: Tanzania and Iran signed a Memorandum of Understanding for cooperation at the end of a two-day visit by Iranian Foreign Minister, Hon. Mohammad Javad Zarif.
The
signing continues while Officers from Iran and Tanzania facilitates the
Ministers. Standing right is Mr. Gerald Mbwafu, Foreign Service Officer
in the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation
Hon. Membe and Hon.Zarif exchanging the agreement
Hon. Membe gives his remarks during a joint press conference held at Serena Hotel.
Hon. Zarif speaking to Journalists (not in the photo)
Ambassador
Simba Yahya (C), Director of the Middle East Department in the Ministry
of Foreign Affairs and International Cooperation and Assistant Director
in the same Department, Mr. Elibariki Maleko (R) during a joint press
conference between Hon. Membe and Hon. Zarif.
Another section of delegates from both countries during a joint press conference.
Hon. Membe in official talks with Hon. Zarif, mainly on strengthening bilateral relations between Tanzania and Iran
Hon. Zarif (4th from right) leading the Iranian delegation during official talks
--
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND INTERNATIONAL COOPERATION

Tanzania
and Iran today signed a Memorandum of Understanding for cooperation at
the end of a two-day visit by Iranian Foreign Minister, Hon. Mohammad
Javad Zarif.
Feb
6
Baadhi
ya washiriki wa warsha ya siku moja iliyoendeshwa na kampuni ya NFT
Consult kwa maofisa rasilimali watu na watoa mafunzo kutoka makampuni
mbalimbali nchini wakifanya usajili kabla ya kuanza kwa warsha
hiyo.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Na Mwandishi wetu
MOJA
ya makampuni makubwa yanayoshughulika na ushauri wa jinsi ya kuongeza
ufanisi katika maeneo ya kazi, NFT Consult wameendesha kongamano kubwa
la kutambua haja ya mahitaji ya wadau mbalimbali wa maendeleo hapa
nchini.
Kampuni
hiyo ya kimataifa ambayo imeingia nchini mwaka 2010 ikiwa na matawi
Uganda, Kenya, Tanzania, Rwanda, Burundi na Sudan Kusini imesema
kongamano hilo limelenga kuonesha uwezo wao katika kubadili mifumo ya
utendaji kazi.
Ofisa
Mtendaji wa kampuni hiyo, Badru Ntege amesema kwamba wamekuwa
wakiendesha mafunzo mbalimbali yenye kueleza thamani ya mfanyakazi na
mdau wowote ambapo uthamini wa wadau ndio unaotoa mwanya wa mabadiliko
chanya yanayotakiwa
“Mafanikio
ya eneo lolote lile linatokana na wadau kusikiliza wenzao na kisha
kufanyia kazi kauli za upande wa pili.” Alisema Ntege.
Timu
ya NFT Consult ikijitambulisha kwa washiriki kabla ya kuanza warsha
hiyo. Kutoka kushoto ni Inside Business Partner wa NFT Consult, Aisu
Mori, Client Partner wa NFT Consult, Immaculate Mwaluko, Ofisa Mtendaji
mkuu wa kampuni ya NFT Consult, Badru Ntege, Meneja biashara mkazi wa
NFT Consult/Franklin Covey Tanzania, Joan Ajilong na Client Partner wa
NFT Consult, Sophia Shuma.
Feb
6

Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Bwana
Gabriel Lyimo Nderumaki ( wa pili kutoka kushoto) akielezea masuala
mbali mbali yanayohusu tasinia ya habari wakati wa mkutano na Katibu wa
NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye uliofanyika kwenye ofisi za
Kampuni ya Magazeti ya Serikali,Tazara jijini Dar es Salaam.

Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza wakati wa kikao chake
na Viongozi na waandishi wa Magazeti ya Serikali alipowatebelea jana
ikiwa sehemu ya utaratibu wake wa kutembelea vyombo vya habari.
Feb
6

Mkuu wa Mkoa
wa Rukwa Eng. Stella Manyanya kulia akihutubia katika maadhimisho ya
siku ya sheria nchini Mkoni Rukwa tarehe 04/02/2015 katika viwanja vya
Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga. Kaulimbiu ya maaadhimisho hayo ikiwa
"Fursa ya kupata haki: Wajibu wa Serikali, Mahakama na Wadau". Katika
hotuba yake hiyo alisema ipo haja kubwa kwa Serikali kubadili sheria
zake ili lugha ya mahakamani na hukumu ziandikwe kwa kiswahili. Kwa
upande wa wananchi aliwaasa kujiepusha na tabia ya kujichukulia sheria
mkononi ili kudumisha amani nchini.

Jaji
Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga Mhe. Jaji Sambo akipokea
gwaride la heshima kutoka kwa kikosi cha Jeshi la Polisi wakati wa
maadhimisho ya siku ya Sheria Mkoani Rukwa tarehe 04/02/2015.

Feb
6

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid (kushoto)akiteta
jambo na Mbunge wa Mbozi Mashariki Godfrey Zambi.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akijibu maswali ya wabunge ya papo kwa
papo Bungeni, Dodoma.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima akijibu
swali Bungeni.

Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, Margareth Sitta akiwasilisha
taarifa ya kamati yake.

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Anne
Kilango Malecela

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahmoud Mgimwa akijibu swali
bungeni.
Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba akichangia taarifa ya kamati

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Saidi Mtanda
akiwasilisha taarifa ya kamati.

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Al- Shaymaa Kwegyir akichangia taarifa ya kamati
Feb
6
Meneja
wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akiimba kwa hisia kali wakati
akitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo (hawapo pichani) Ijumaa
iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar
Binti
mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akitoa burudani
kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Thai
Village, Masaki jijini Dar es Salaam Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti na Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Kisura mwingine wa Skylight Band anayefamika kwa jina la Baby.
Tukutane
baadae tupunguze stress za wiki nzima kwa burudani iliyoenda shule na
sehemu ya watu wastaarabu kama kawaida na mtonyo wetu ule ule getini.
Msanii wa Skylight Band Joniko akiendelea kutoa burudani huku vijana wa Skylight Band wakitimua vumbi jukwaani wakiongozwa na Sony Masamba ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar
Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akiimba uku akipewa support ya nguvu na Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge( wa kwanza kushoto), Sam Mapenzi (wa pili kutoka kulia) pamoja na John Music ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar
Sony Masamba akiendelea kuimba masebene ya nguvu huku akipewa support na Majembe ya Skylight Band yaliyojimwaga kwenye stage
Waimbaji
wa Skylight Band yakijimwaga na sebene jukwaani kwenye show za bendi
hiyo zinazofanyika kila Ijumaa ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki
jijini Dar.
Msanii wa Skylight Band John Music akitoa burudani ya nguvu ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita.
Feb
4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete amemteua Dkt. Hamisi Hassan Mwinyimvua(pichani) kuwa Naibu
Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, anayesimamia Menejimenti ya Fedha za Umma
(Public Finance Management).
Kabla ya uteuzi wake, Dkt. Mwinyimvua alikuwa Msaidizi wa Rais wa muda mrefu wa masuala ya uchumi.
Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue leo, Jumatatu, Februari 2, 2015, imesema kuwa uteuzi wa Dkt. Mwinyimvua ulianza Jumamosi, Januari 24, 2015.
Dkt. Hamisi Hassan Mwinyimvua ni mwanataaluma mwenye ujuzi na uzoefu mkubwa katika uchumi.
Anayo shahada ya kwanza ya B.A. (Econ) ya Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1986), Shahada ya Uzamili ya M.A. (Econ) ya Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1988) na Shahada ya Uzamivu ya PhD ya uchumi kutoka vyuo vikuu vya Dar es Salaam na Lund cha Sweden.
Dkt. Mwinyimvua amekuwa mhadhiri wa miaka mingi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambako amepanda daraja kutoka Tutorial Assistant, mwaka 1986-1988, Mhadhiri Msaidizi, mwaka 1988-1996, Mhadhiri, mwaka 1996-2005, Mhadhiri Mwandamizi, mwaka 2005-2006 na Mkuu wa Idara ya Uchumi ya chuo hicho mwaka 2006.
Dkt. Mwinyimvua aliteuliwa kuwa Msaidizi wa Rais, Uchumi, mwaka 2006, nafasi ambayo ameishikilia hadi mwaka huu, 2015.
Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Hon. Membe and Hon.Zarif exchanging the agreement
Hon. Zarif speaking to Journalists (not in the photo)
Ambassador
Simba Yahya (C), Director of the Middle East Department in the Ministry
of Foreign Affairs and International Cooperation and Assistant Director
in the same Department, Mr. Elibariki Maleko (R) during a joint press
conference between Hon. Membe and Hon. Zarif.
Hon. Membe in official talks with Hon. Zarif, mainly on strengthening bilateral relations between Tanzania
and Iran
Hon. Zarif (4th from right) leading the Iranian delegation during official talks
--
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND INTERNATIONAL COOPERATION

Tanzania
and Iran today signed a Memorandum of Understanding for cooperation at
the end of a two-day visit by Iranian Foreign Minister, Hon. Mohammad
Javad Zarif.
No comments:
Post a Comment