MEZ B AFARIKI DUNIA MKOANI DODOMA

Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa mwanamuziki huyo, wamesema kwamba marehemu alikuwa yupo katika hatua za mwanzoni za matibabu ya ugonjwa wa kifua kikuu(T.B)..
Mez B alianza kusikika rasmi miaka ya 2000 akitamba na
vibao kama vile Kama vipi, Nimekubali na nyinginezo huku akiwa ni mmoja
wa memba kutoka katika kundi la Chemba Squad ambalo lilikuwa linaundwa
na late Albert Mangwair, Noorah pamoja na Dark Master.
Hata hivyo miaka ya hivi karibuni, Mez B alishindwa kutamba
kwa kile alichokitaja kuwa ni kukosa airtime ya kutosha katika redio za
hapa nyumbani.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
No comments:
Post a Comment