DKT SHEIN AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammed Javad Zarif alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu
ya Iran Mohammed Javad Zarif (wa pili kulia) alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri
ya Kiislamu ya Iran Mohammed Javad Zarif (kulia kwa Rais ) alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao,[Picha na
Ikulu.]
No comments:
Post a Comment