WADAU WA VUNJO WAMTAKIA HEPI BESDEI KAMANDA WAO INNOCENT.
Naibu
kamanda wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi wilaya ya moshi
vijijini ambae pia anatajwa kutakiwa kuwania ubunge jimbo la vunjo
Innocent Melleck shirima leo 06/02/2015 ni siku yake ya kuzaliwa. Kwa
niaba ya vijana na wananchi wa jimbo la vunjo tunamtakia afya njema na
Mwenyezi Mungu ambariki kuwa na umri mkubwa mara dufu.Tupo nae katika
kutekeleza ndoto za maisha yake mwaka huu 2015.
No comments:
Post a Comment