ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA YAFANA WILAYA YA DIMANI MKOA WA MAGHARIBI.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Makamo wa
Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Idd mara baada ya kumaliza kikao cha
halmashauri kuu ya wilaya ya Dimani.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyeka majani mbele ya Chuo
cha Sayansi ya Bahari (IMS), alipotembelea chuo hicho kilicho chini ya
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam eneo la Buyu, Unguja Zanzibar leo wakati wa
ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa
kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi
ili zipatiwe ufumbuzi. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA
WA MATUKIO BLOG
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Msafara
wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ukielekea katika jimbo la Fuoni
kushiriki upandaji wa mikoko katika hifadhi ya Baahari,kaa na ufugaji
nyuki katika eneo la Fuoni Bondeni.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Dimani
mkoa wa Magharibi Zanzibara na kuataka wana CCM kushikamana huku
akiwaambia vijana kuwa wasiwewanyonge katika kukitetea chama chao.
Mamia ya watu wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM kwenye viwanja vya
Magereza ,Tomondo wilaya ya Dimani mkoa wa Magharibi Zanzibar.
Katibu wa NEC Itikadi Na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa wilaya
ya Dimani mkoa wa Magharibi ambapo aliwaeleza hesabu na sayansi ya
kisiasa imewamaliza wapinzani hivyo CCM itashinda uchaguzi ujao.
Baadhi ya Wanahabari wakiwa kazini .
Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akikata utepe kuzindua rasmi gari la wagonjwa
lililotolewa na Mbunge wa jimbo la Fuoni kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa
katika jimbo hilo.
Mamia
ya watu wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM kwenye viwanja vya Magereza
,Tomondo wilaya ya Dimani mkoa wa Magharibi Zanzibar.
PICHA NA MICHUZI JR-WILAYA YA DIMANI-UNGUJA









No comments:
Post a Comment