Header Ads

Mtoto Enike Neston Sanga Aliyepotea Hivi Karibu


Enike Neston Sanga

Mtoto Enike Neston Sanga , mwenye umri wa miaka 13 ni mwanafunzi wa kidato cha pili 2015 katika sekondari ya king'ongo kimara  jijini Dar es Salaam. inasemekana aliondoka nyumbani saa 9 tarehe 9 mwezi wa kwanza 2015. Wakati huo alikuwa na siku moja baada ya kurudi likizo kutoka kwa shangazi yake buza, anapenda kutembelea maeneo hayo kwa shangazi yake. Toka ameondoka hajaonekana tena mpk hivi sasa!!. Baba yake amesema baada ya kutoa taarifa na kufungua jalada
no. KMR/RB243/2015   kituo cha polisi kimara hayo leo wakati wakiongea na team ya ya mtandao huu  
-  Hivyo yeyote atakayemuona mtoto huyu,
piga simu +255 653400017
                      +255 753044680
                    +255 718377761
                      +255 715700416  

  Au atoe taarifa kituo chochote cha polisi kilicho karibu naye.

naombeni msaada wenu wana habari katika kufanikisha hili..
asanteni.

No comments:

Powered by Blogger.