Ridhiwani Kikwete ashiriki mazishi Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Mkoa Pwani, SALEHE MPWIMBWI

MBUNGE
Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akiweka mchanga kwenye kaburi la
Salehe Mpwimbwi aliyezikwa katika makaburi yaliyopo nje kidogo ya kijiji
cha Miono, mazishi yaliyofanyika juzi baada ya Mpwimbwi kupata ajali
akiwa kwenye gari yake binafsi akitokea kijiji
> cha jirani kumpeleka mgonjwa ambapo njiani gari lake lilipasuka taili na kupinduka
> cha jirani kumpeleka mgonjwa ambapo njiani gari lake lilipasuka taili na kupinduka

KAKA wa Rais Jakaya Kikwete Selemani Kikwete akiweka mchanga katika
Kikwete akiweka mchanga kwenye kaburi la Salehe Mpwimbwi aliyezikwa
katika makaburi yaliyopo nje kidogo ya kijiji cha Miono, mazishi
yaliyofanyika juzi baada ya Mpwimbwi kupata ajali akiwa kwenye gari yake
binafsi akitokea kijiji cha jirani kumpeleka mgonjwa ambapo njiani gari
lake lilipasuka taili na kupinduka. (PICHA NA OMARY SAID).
No comments:
Post a Comment