Tathmini Ya Programu ya IFAD nchini Tanzania yaonyesha Mafanikio Makubwa
Mkurugenzi
wa IFAD, Ofisi huru ya Tathmini, Mr Oscar Garcia akitoa ripoti ya
tathmini ya programu ya IFAD nchini Tanzania jinsi ilivyoweza kuonyesha
mafanikio makubwa wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika Januari 29,
2014 jijini Dar katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl Nyerere.
Waziri
wa Kilim, Chakula na Ushirika Tanzania Bara, Mh Steven Wassira akisoma
hotuba fupi wakati wa warsha ya siku moja iliyolenga kuonyesha mafanikio
ya programu ya IFAD nchini Tanzania, warsha iliyofanyika katika Ukumbi
wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl Nyerere Januari 29, 2014 jijini Dar.
Waziri wa Kilimo na Maliasili wa Zanzibar, Mh Sira Ubwa Mamboya akizungumza wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika Januari 29, 2014 katika
ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwl Nyerere wakati wa kuwasilisha
ripoti ya tathmini ya programu ya IFAD nchini Tanzania.
Nadine
Gbossa, Mkuu wa Ofisi ya Kanda ya IFAD Nairobi akizungumzia tathmini ya
mafanikio ya programu ya IFAD nchini Tanzania katika warsha ya siku
moja iliyofanyika Januari 29 2014 jijini Dar Es Salaam katika Ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Mwl Nyerere.
No comments:
Post a Comment