Picha Za Matukio Mbalimbali Kutoka Bungeni Mjini Dodoma
Spika wa Bunge, Anne Makinda akiongozwa na Mpambe kuingia kwenye ukumbi wa Bunge Januari 27, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mwanasheria Mkuu wa serikali, George
Masaju (wapili kulia) baada ya mwanasheria huyo kuapishwa Bugeni mjini
Dodoma Januari 27, 2015
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Bariadi Mashariki John Momose Cheyo, Bungeni mjini Dodoma Januri 27, 2015.
No comments:
Post a Comment