SHIRIKA LA MISAADA LA MAREKANI USAID LAKABIDHI PIKIPIKI 10 BOHARI KUU YA DAWA ZANZIBAR.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya
Zanzibar Bi. Halima Maulid Salum na Mshauri Muandamizi wa Shirika la
Misaada la Marekani (USAID) Bi. Kelly Hamblin wakisaini makabidhiano ya
pikipiki 10 kwa ajili ya ufuatiliaji uwepo wa dawa katika vituoni vya
afya Wilaya. Hafla hiyo imefanyaka Bohari Kuu la Dawa Maruhubi Mjini
Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya
Zanzibar Bi. Halima na Mshauri Muandamizi wa Shirika la Misaada la
Marekani (USAID) Bi. Kelly wakibadilishana hati ya makabidhiano.
Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit
Kombo akikabidhiwa funguo ya pikipiki na Bi. Kelly Hamblin (kusho) Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Bi. Halima Maulid.
Baadhi ya Pikipiki zilizo kabidhiwa.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment