RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI GONGO LA MBOTO, DAR ES SALAAM, LEO

Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuzindua nyumba za
kisasa za makazi ya wanajeshi akisaidiana na Balozi wa China nchini Mhe
Lu Youqing, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein
Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange Gongo la Mboto
jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015.

No comments:
Post a Comment