NAIBU WAZIRI WA UJENZI AKAGUA KIVUKO CHA MV UTETE
Naibu
Waziri wa Ujenzi Eng. Gerson Lwenge(wa kwanza) akishuka ngazi mara baada ya kukagua kivuko cha MV-Utete
ambacho hakitoi huduma ya usafirishaji kutokana na kupungua kwa kina cha maji cha
mto Rufiji.
Kaimu
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme(TEMESA), Eng. Manase Ole-Kujan (wa
kwanza kushoto) akitoa taarifa ya kivuko cha MV-Utete kwa naibu waziri wa
ujenzi Eng. Gerson Lwenge.
Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Gerson Lwenge (wa
pili kulia) akitoa maelekezo na maagizo kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi
na Umeme(TEMESA), Eng. Manase Ole-Kujan baada
ya kukagua kivuko cha Mv-Utete wilayani Rufiji mkoani Pwani
Muonekano
wa kivuko cha MV-Utete ambacho
kimeegeshwa na kusitisha huduma zake kutokana na kupungua kwa kina cha maji cha
mto rufiji.
Naibu
Waziri wa Ujenzi Eng. Gerson Lwenge (wa kwanza kulia) akimpa pole Mkuu wa mkoa
wa Pwani Eng. Evarist Ndikilo kufuatia mauaji ya askari polisi wawili katika
kituo cha polisi cha Ikwiriri Wilayani Rufiji
No comments:
Post a Comment