WANANCHI KUWENI MAKINI NA VIONGOZI WENYE TAMAA YA MADARAKA-KINANA


Sehemu ya umati wa wakazi wa Nungwi na Wafuasi wa CCM wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman
Kinana
alipowahutubia mapema leo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye
uwanja wa Skuli,jimbo la Nungwi,wilaya ya Kaskazini A,mkoa wa Kaskazini
Unguja.

Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mapema leo jioni kwenye
mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Skuli,Nungwi Mkoa wa
Kaskazini Unguja.Nae amewataka vijana kuacha tabia yakushabikia vyama
ambavyo havina msaada kwao


Sehemu
ya umati wa wakazi wa Nungwi akiwa wamekusanyika kwenye mkutano wa
hadhara,ambapo Katibu Mkuu wa CCM,aliwahutubia mapema leo jioni kwenye
uwanja wa Skuli,jimbo la Nungwi,wilaya ya Kaskazini
A,mkoa wa Kaskazini Unguja.

Baadhi ya Wanachama wapya wapatao 284 waliojiunga na chama CCM wakila kiapo mara baada ya kukabidhiwa kadi za uanachama

Baadhi ya Wafuasi wa chama cha CCM wakishangilia jambo kwenye mkutano wa hadhara
No comments:
Post a Comment