Mwenyekiti wa Chama Cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila amefungua kesi katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kumshitaki Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania Dk. Valentino Mokiwa.

Mwenyekiti wa Chama Cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania Dk. Valentino Mokiwa.

Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania Dk. Valentino Mokiwa.
---
Mchungaji
Christopher Mtikila, amefungua kesi katika mahakama ya hakimu mkazi
Kisutu kumshitaki Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican Tanzania Dk.
Valentino Mokiwa.
Msingi
wa kesi ni kwamba Askofu Mokiwa alimshika makalio Mtikila na kwamba
kitendo hicho kilichotokea Juni 25 mwaka jana walipokutana maeneo ya
Ilala, kimemdhalilisha.
Mtikila
alikuwa ameitwa na Askofu kujadili tamko la la Mtikila kwamba Kanisa la
Anglican linajihusisha na ufisadi, ukiwemo wizi wa vifaa vya Hospitali
ya Mission ya Millo iliyoko Ludewa mkoani Njombe.
No comments:
Post a Comment