ripoti ya maoni inayohusu mabadiliko ya Tabianchi kuwasilishwa Peru
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt.
Injinia Binilith Satano Mahenge (wa
kwanza kushoto) na Naibu Waziri Ofisi ya
Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu (wa pili kushoto), wakisikiliza kwa
makini ripoti ya maoni inayohusu mabadiliko ya Tabianchi itakayowasilishwa huko
Peru hivi karibuni ,ikitolewa na Uester
Kibona ambaye ni mwenyekiti wa Asasi isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na
Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira (FORUM
CC).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt.
Injinia Binilith Satano Mahenge (wa kwanza kushoto), akipokea ripoti ya maoni
inayohusu mabadiliko ya Tabianchi kutoka kwa Uester Kibona ambaye ni mwenyekiti
wa Asasi isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na Mabadiliko ya Tabianchi
na Mazingira (FORUM CC).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mheshimiwa
Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge (wa kwanza kushoto) pamoja na Naibu Waziri
Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu (wa tatu kulia) wakiwa
katika picha ya pamoja na wawakilishi kutoka Asasi isiyo ya kiserikali inayojihusisha
na Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira (FORUM
CC).
No comments:
Post a Comment