MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA MABALOZI WA URUSI, CANADA NA ALGERIA

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel,
wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba
30, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi
nchini.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Mhe. Jack Zoka, wakati
alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 30, 2014
kwa ajili ya kumuaga akienda kuanza kazi rasmi nchini Canada.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Alexander Rannkikh,
wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba
30, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi
nchini.
No comments:
Post a Comment