CAREER AFRICA YAFANA NEW YORK ZAIDI YA WANADIASPORA 400 WAJITOKEZA
Sophia
Yona mwanadiaspora wa New York akiuliza jambo kwa mwakilishi wa Exim
Bank Bwn. Dinesh Arora kwenye Career Africa iliyofanyika jiji lisilo
lala New York City ndani ya hotel ya Hilton iliyopo mtaa wa 1335 avenue
of americas, New York New York 10019 na wanaDiaspora takribani 400
walijitokeza kwenye Careear Africa hiyo iliyokua imeandaliwa na baadhi
ya wana Diaspora wa New York na New Jersey kwa kushirikiana na makampuni
makubwa yanayofanya shughuli zake Afrika yaliyofanya kongamano hilo kwa
ajili ya kuwatafuta wanaDiaspora wa Marekani wanaopendelea
kufanyakakazi kwenye makampuni yao. Makampuni yaliyoleta wawakilishi
ni AXA insurance, Exim bank, national Microfinance Bank (NMB). OCP
group, PZ Cussons, Safaricom na Tollow Oil.
Bi.
Rokyaya Mane (kulia) mwakilishi wa National Micfofinance Bank (NMB)
akitoa maelezo kwa wanaDiaspora waliohudhuria kongamano hilo
lililoandaliwa maalum kutafuta wanaDiaspora wanaopendelea kuajiliwa na
makampuni hayo Kongamano la Career Africa lililofanyika kuanzia Ijumaa
Novemba 7-9, 2014 jijini New York City.
No comments:
Post a Comment