Wana Njiaa Panda washiriki kufanya usafi kataka Hospitali ya Amana
Baadhi ya Wana Njia Panda wakifanya
usafi wa mazingira katika Hospitali ya Amana jana jijini Dar es Salaam.
: Mmoja wa Wana Njia Panda Andrew
Kwingwa kwa kushirikiana na Mfanaya usafi wa kampuni ya Care Sanitation yenye
jukumu la kufanya usafi katika Hospitali ya Amana, Bi. Anna Mkonda wakimwaka
takataka katika jaa la kuhifadhi taka la Hospitali ya Aman kabla ya kupelekwa
Dampo.
: :Mwakilishi wa Kampuni ya Grace Products
watengenezaji wa Vipodozi na bidhaa za usafi kwa kutumia mimea asili Bi.
Happiness Tibaijuka akikabidhi msaada wa kwa u Afisa Afya wa Hospitali hiyo Bw.
Ally Kasembe (kushoto).Grace Product wametoa msaada wa Sabuni za kuogea, mafuta
ya kupaka kwa ajili ya watoto, sabuni za kusafishia choo, pamoja na Lotion.
Wana Njia Panda wakiwa katika picha ya
pamoja mara baada ya kukamilisha zoezi la kufanya usafi katika mazingira ya
Hospitali ya Amana ya jijini Dar es Salaa jana. Picha na Frank Shija, WHVM.
Mtangazaji
wa Kipindi cha Redio cha Njia Panda kinachorushwa na Clouds FM Dkt.
Isack Maro akizungumza na mwandishi wa habari wa Zanznbar Media Bi.
Sophia Kingimali wakatika wa zoezi la usafi katika Hospilali ya Amana
iliyopo Ilala, jana jijini Dar es Salaam. Wananjiapanda wamejitolea
kufanya shughuli za usafi katika Hospitali hiyo ikiwa ni kutoa mchango
wao kwa jamii inayowazunguka.
Afisa
Afya wa Hospitali ya Amana ya jijini Dar es Salaam Ally Kasembe
akizungumza na mwandishi wa habari wa Zanznbar Media Bi. Sophia
Kingimali wakatika wa zoezi la usafi katika Hospilali hiyo ambapo
Wasikilizaji na wapenzi wa Kipindi cha Redio cha Njia Panda
kinachorushwa hewani na Clouds FM walifika Hospitalini hapo kwa ajili ya
kufanya usafi wa mazingira yanayoizunguka Hospitali hiyo jana jijini
Dar es Salaam.
Mwakilishi
wa Kampuni ya Grace Products watengenezaji wa Vipodozi na bidhaa za
usafi kwa kutumia mimea asili Bi. Happiness Tibaijuka akifafanu jambo kw
mwambdishi wa habari Bi. Sophia Kingimali wakati wa zoezi la usafi wa
Mazingira katika Hospitali ya Amana ya jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment