Header Ads

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Wakaguzi wa Hesabu za Serikali Dar es Salaam

1 (1) (1) Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bwana Ludovick  Utouh  akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Kikwete na kuwatambulisha baadhi ya wageni na viongozi waandamizi walioshiriki katika hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa wakaguzi wa Hesabu za Serikali uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam leo.Kutoka kushoto ni balozi wa Sweden Mh.Lennarth Hjelmaker, mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Serikali ya Sweden Bwana Jan Landahl, na watatu kutoka kushoto ni Bibi Lara Tayloir Pearce ambaye ni mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Serikali ya Sierra leone.
1 (2) (1)Baadhi ya wajumbe walioshiriki katika hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Mwaja wa wakaguzi wa Hesabu za Serikali uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro).

No comments:

Powered by Blogger.