Rais kikwete akutana na Makamu wa Rais wa China pamoja na Mmiliki wa kampuni ya Dangote
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akizungumza na
makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mh. Li Yuanchao ikulu jijini
Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mmiliki wa kampuni kubwa ya kuzalisha saruji DANGOTE Industries Ltd Alhaji Aliko Dangote ikulu jijini Dar es Salaam leo (picha na Freddy Maro)

No comments:
Post a Comment