PICHA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS-IKULU:MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KIWANDA CHA COCACOLA MWANZA KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Mwanza na wa Kiwada cha
Cocacola, wakati alipowasili kwenye Kiwanda hicho kwa ajili ya
kutembelea na kujionea mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya
Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani
Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, jana.
Makamu akionyeshwa maji masafi ambayo tayari yameshapita katika hatua kadhaa yakiwa machafu hadi kuweza kutumika upya.
Maji safiiii,
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Msimamizi Mkuu wa ubora wa Mazingira na
Usalama Kazini, Peter Simon, kuhusu jinsi wanavyo tunza mazingira kwa
kutotupa maji machafu ambayo hutengenezwa na kuwa masafi na kutumika
upya kwa baadhi ya shughuli za kiwandani hapo kama kumwagia bustani,
kuoshea magari na n.k, wakati alipowasili kwenye Kiwanda hicho kwa
ajili ya kutembelea na kujionea mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho
ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani
Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, jana

No comments:
Post a Comment