Picha Kutoka IKULU Zanzibar:Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Bradley Childress Ajitambulisha Rasmi Kwa Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa
Marekani nchini Tanzania Mhe,Mark Bradley Childress (kushoto) baada ya
mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe,Mark Bradley
Childress alipofika Ikulu Mjini Unguja Kujitambulisha leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe,Mark Bradley
Childress alipofika Ikulu Mjini Unguja Kujitambulisha leo.[Picha na
Ramadhan Othman,IKULU-Zanzibar
No comments:
Post a Comment