Header Ads

MAZIKO YA ALWATAN SMALL WA NGAMBA

Mwili wa msanii mkongwe wa maigizo nchini, Mzee Small, umezikwa katika makaburi ya Segerea, Dar es Salaam leo. Mamia ya watu walihudhuria maziko yake. (PICHA NA GLOBAL)

No comments:

Powered by Blogger.