Header Ads

RAIS KIKWETE AHANI MCHEKESHAJI SAIDI NGAMBA "MZEE SMALL" JIJINI DAR LEO


 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua  wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii  maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa  marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014  
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii  maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa  marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014  Kulia ni Bw. Mahmoud Saidi, Mtoto wa Marehemu “Mzee Small”.
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakifariji wafiwa   wakati walipokwenda kuhani msiba wa msanii  maarufu wa filamu vichekesho Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” nyumbani kwa  marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014  
 Mama Salma  Kikwete akimpa pole mjane wa  Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Smal”l  wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo  maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa  marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014  
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa  Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small  wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo  maarufu wa filamu za vichekesho nyumbani kwa  marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014 .PICHA NA IKULU
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Bw. Mahmoud Saidi, Mtoto wa Marehemu Saidi Ngamba “Mzee Small” wakati alipokwenda kuhani msiba wa msanii huyo maarufu wa filamu vichekesho nyumbani kwa  marehemu Tabata Kimanga jijini Dar es salaam leo Juni 9, 2014

No comments:

Powered by Blogger.