KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitambulishwa na Mbunge wa Hanang na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Ukezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary
(kulia) kwa Wananchi kutoka jimbo hilo waliotembelea Bunge mjini Dodoma
Junu 27 kwa mwaliko wa mbunge wao.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge kwenye viwanja vya
Bunge Mjini Dodoma juni 27, 2014. Kutoka kushoto ni Martha Mlata wa
Viti Maalum,Tundu Lissu wa Singida Masharikina na Felister Bura wa Viti
Maalum. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mbinga Magharibi Cpt. John Komba, Bungeni Mjini Dodoma Juni 27, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge Samuel Sita wa Urambo
Masharikiambaye pia ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki
(katikati) na Mbunge wa Tabora mjini Aden Rage kwenye viwanja vya Bunge
mjini Dodoma Juni 27, 2014.
No comments:
Post a Comment