FARIDA AZINDUA FARIDAS FOUNDATION KUSAIDIA WALEMAVU
Farida A. Sekimonyo akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa Faridas Foundation.
Keki maalum kwa tukio hilo.…

Keki maalum kwa tukio hilo.
Farida (kushoto) akimkabidhi zawadi Taji Liundi ambaye alikuwa mshereheshaji katika uzinduzi.
Baadhi ya walemavu wa ngozi wakijadiliana jambo nje ya ukumbi wa Ubungo Plaza.Katibu Mkuu wa Chama cha Walemavu Tanzania (CHAWATA) Elias Masaku (kushoto) akiwa na mwenyekiti wake, John Mlabu, wakiwa na bidhaa walizochangia katika uzinduzi wa Faridas Foundation.Wadau wakiwa ukumbini.Waandishi wa Global Publishers wakiwa katika uzinduzi huo.Walemavu mbalimbali wakiwa katika uzinduzi wa Faridas Foundation.Kushoto ni mwandishi wa Global Publishers, Gabriel Ng'osha, akipokea cheti cha ushirikiano kutoka kwa Farida.Farida akimlisha keki mama yake mzazi Bi Joyce akimshukuru kwa ushirikiano wake.Sehemu ya walemavu waliofika katika uzinduzi huo.Wasanii wa Mabaga Fresh wakiwa ukumbini.Wasanii wa Kinoko wakifanya makamuzi.Farida akitoa shukrani kwa mmoja wa wadau wake .Cheti kilichotolewa kwa Global Publishers kama ishara ya ushirikiano na Farida’s Foundation.
MWANADADA Farida A. Sekimonyo ametimiza ndoto zake kwa kuzindua Faridas Foundation ambayo ni taasisi inayojihusisha na kuisaidia jamii ya watu wenye ulemavu nchini Tanzania.
Uzinduzi huo ulifanyika jana katika ukumbi wa Crystal Hall ulioko Blue Pearl Hotel katika jengo la Ubungo Plaza, jijini Dar, ukiambatana na burudani toka kwa walemavu mbalimbali wakiwemo Mabaga Fresh, na kundi la Kinoko ambalo lilinogesha kwa michezo wa baiskeli.
(Stori/Picha: Na Gabriel Ng’osha, Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata/GPL)

No comments:
Post a Comment