EVANS AVEVA AMALIZA KAMPENI ZA URAIS SIMBA KWA KISHINDO
Mgombea
wa nafasi ya urais Evans Aveva, akiwa na Mlinzi wake 'Board Guard'
(nyuma) akijinadi kwa wanachama, wakati wa mkutano wake wa kampeni za
mwisho na waandishi wa habari kuelekea uchaguzi mkuu wa Klabu hiyo
kesho, kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuiongoza Klabu ya Simba kwa kipindi
kijacho cha miaka minne. Hitimisho hilo la kampeni zake limefanyika leo
kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali, akimnadi mgombea Urais Evans Aveva.
Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo.
Baadhi ya wanachama wa Simba waliohudhuria mkutano huo.
Baadhi ya wazee wa Simba waliohudhuria mkutano huo.
No comments:
Post a Comment