CHRIS BROWN AKARIBISHWA URAIANI NA BONGE LA PATI
Ikiwa
ni siku tatu kupita tangu mwanamuziki Chris Brown atoke jela, mkali
huyo wa R&B ameangusha sherehe ya kusherekea uhuru wake katika pati
maalum iliyofanyika alhamisi mchana katika mjengo wake uliopo mjini Los Angels nchini Marekani na kuhudhuriwa na watu wake wa karibu.
Katika sherehe hiyo kulikuwa pia na sapraizi ya aina yake
kutoka kwa mpenzi wake mwanamitindo Karrrueche Tran aliyemfumba macho
kwa kutumia kitambaa chekundu na kumpeleka mpaka eneo walilokuwepo
wageni waalikwa ambao Brown hakutegemea kama wangeweza kutokea akiwemo
mwanafamilia wa Young Money, Rapa Tyga, T-Pain, Big Sean, Jas Prince Jr,
Amber Ross pamoja na C.E.O wa lebo ya Konvict Akon…Jionee mwenyewe
picha na video hapo chini …
Chris Brown na T-Pain
No comments:
Post a Comment