Rais Kikwete akutana na Rais Jose Eduardo Dos Santos wa Angola jijini Luanda leo
Rais
wa Angola Mhe. Jose Eduardo Dos Santo akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete katika ikulu ya nchi hiyo jijini Luanda na kufanya naye
mazungumzo leo. Rais Kikwete alikuwa nchini Angola kwa ziara ya kikazi
ya siku moja
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mazungumzo na Rais wa Angola Mhe. Jose Eduardo Dos Santo katika ikulu ya nchi hiyo jijini Luanda leo. .Rais Kikwete alikuwa nchini Angola kwa ziara ya kikazi ya siku moja
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo na Rais wa Angola Mhe. Jose Eduardo Dos Santo katika ikulu ya nchi hiyo jijini Luanda wakati akihitimisha ziara ya kikazi ya siku moja nchini humo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais wa Angola Mhe. Jose Eduardo Dos Santo katika ikulu ya nchi hiyo jijini Luanda wakati akihitimisha ziara ya kikazi ya siku moja nchini humo.Picha na Freddy Maro
No comments:
Post a Comment