Picha Kutoka IKULU-Zanzibar:Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Akutana Kwa Mazungumzo na Ujumbe wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Cairo IKULU Zanzibar

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
(kulia)akizungumza na Ujumbe wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha
Cairo, ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,(kushoto) Mshauri wa
Rais mambo ya Nje ya nchi Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa
No comments:
Post a Comment