TLTC yaibuka kinara wa misaada ya Jamii Mkoani Morogoro
Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro, Dk Joel Bendera akizungumza mara baada ya
kukabidhiwa tuzo ya Uongozi Bora wakati wa sherehe za Tuzo za Urugulu
kwa mwaka 2014 zilizofanyika Mkoani Morogoro mwishoni mwa wiki.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Kampuni ya TLTC wakifurahia tuzo ya Mshindi wa jumla
kwa utoaji wa misaada kwa Jamii mkoani wakati wa Sherehe za Tuzo za
Urugulu mwaka 2014 zilizofanyika Morogoro mwishoni mwa wiki
Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro,Dk Joel Bendera akiwa katika picha ya pamoja na
wafanyakazi wa Kampuni ya Tumbaku Tanzania (TLTC) ambayo ilitwaa tuzo ya
Mshindi wa jumla kwa utoaji wa misaada kwa Jamii mkoani humo wakati wa
Sherehe za Tuzo za Urugulu mwaka 2014 zilizofanyika Morogoro mwishoni
mwa wiki.
Mkurugenzi
wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya Tumbaku Tanzania (TLTC), Richard
Sinamtwa akiwa amenyanyua juu kombe la Mshindi wa jumla kwa utoaji wa
misaada kwa Jamii mkoani Morogoro wakati wa Sherehe za Tuzo za Urugulu
mwaka 2014 zilizofanyika Morogoro mwishoni mwa wiki.
Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro Dk Joel Bendera(kulia) akimkabidhi Kombe,
Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya Tumbaku Tanzania (TLTC),
Richard Sinamtwa kampuni tuzo ya Mshindi wa jumla kwa utoaji wa misaada
kwa Jamii mkoani wakati wa Sherehe za Tuzo za Urugulu mwaka 2014
zilizofanyika Morogoro mwishoni mwa wiki
No comments:
Post a Comment