Header Ads

TAZAMA JINSI WAVUVI KIBIRIZI MKOANI KIGOMA WALIVYOTOA KILIO CHA KERO ZA KODI NA LESENI KWA KATIBU MKUU WA CCM ABDURAHMAN KINANA


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma bango lenye ujumbe wa kulalamikia kodi kubwa  wanazotozwa wavuvi wadogowadogo wa Kibirizi,Kigoma. 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kibirizi mkoani Kigoma ambao wanakilio cha kutozwa kodi kubwa, kuvamiwa na majambazi wakati wa uvuvi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akisalimiana na Mama Mawazo Rashid Mawala mkazi wa Ujiji Kigoma ,Katibu Mkuu alikuwa akitembea kwenye njia iliyotumika na Watumwa ambapo kuna miembe yenye umri zaidi ya miaka 150.

No comments:

Powered by Blogger.