Kampuni ya Bima ya Jubilee Yamkabidhi Spika wa Bunge Anne Makinda Kadi Maalum ya Bima ya Afya Atakayoitumia Kwa Ajili ya Matibabu
Mtendaji
Mkuu wa Kambuni ya Bima ya Jubilee Ndg. George Alande akimkabidhi Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda kadi Maalum ya Bima ya Afya atakayoitumia
kwa ajili ya matibabu baada ya Ofisi ya Bunge kujiunga na kampuni ya
Jubilee Insuarnce kwa ajili ya Bima ya matibabu ya Wabunge wote.
Anaeshuhudia katikati ni Ndg. Peter Nyabuti kutoka kambuni ya ushauri wa
Bima ya Astra Insurance Brokers.
Mtendaji
Mkuu wa Kambuni ya Bima ya Jubilee Ndg. George Alande akimkabidhi Mhe.
william Lukuvu kadi Maalum ya Bima ya Afya atakayoitumia kwa ajili ya
matibabu baada ya Ofisi ya Bunge kujiunga na kampuni ya Jubilee
Insuarnce kwa ajili ya Bima ya matibabu ya Wabunge wote. Anaeshuhudia
katikati ni Ndg. Peter Nyabuti kutoka kambuni ya ushauri wa Bima ya
Astra Insurance Brokers.
No comments:
Post a Comment