Header Ads

Joto la bunge maalum la katiba limezidi kupanda ikiwa ni siku ya pili ya uwasilishaji wa taarifa za kamati ambapo mwenyekiti wa kamati namba moja amekumbana na joto hilo na kujikuta katika hali ngumu iliyomsababisha kuahirisha kusoma taarifa ya kamati yake mara kadhaa .

No comments:

Powered by Blogger.