Picha:UVCCM Same Mashariki Yamchagua Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki, kuwa Kamanda wa Vijana wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro.
Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana UVCCM Sixtus Mapunda, akimsimika Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki, kuwa Kamanda wa Vijana wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro. |
Katibu mkuu wa umoja wa Vijana UVCCM, Sixtus Mapunda akimsomea , Naibu waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki kiapo cha ukamanda. |
Naibu waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki, akila kiapo cha kusimikwa kuwa kamanda wa umoja wa vijana UVCCM wilaya ya Same. |
No comments:
Post a Comment