MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WAOMBOLEZAJI MSIBA WA MAALIM MUHIDIN GURUMO, JIJINI DAR.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, na baadhi ya waombolezaji
wakati alipowasili nyumbani kwa marehemu Maalim Muhidin Gurumo, Mabibo
jijini Dar es Salaam, kwa ajili kuaga mwili wa marehemu kabla ya
kusafirishwa kuelekea Kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa
maziko, leo, Aprili 15, 2014 . Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mwanamuziki mkongwe, Kassim Mapili, na baadhi ya
waombolezaji wakati alipowasili nyumbani kwa marehemu Maalim Muhidin
Gurumo, Mabibo jijini Dar es Salaam, kwa ajili kuaga mwili wa marehemu
kabla ya kusafirishwa kuelekea Kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe
kwa maziko, leo, Aprili 15, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwafariji wanafamilia wa marehemu Maalim Muhidin Gurumo,
wakati alipofika nyumbani kwa marehemu, Mabibo jijini Dar es Salaam, kwa
ajili ya kuaga mwili wa marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea
kijijini kwao Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa maziko, leo Aprili 15, 2014.
Kulia ni Mjane wa marehemu, Pili Binti Saidi Kitwana. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na wanafamilia wa marehemu Maalim Muhidin Gurumo, wakati
alipofika nyumbani kwa marehemu, Mabibo jijini Dar es Salaam, kwa ajili
ya kuaga mwili wa marehemu kabla ya kusafirishwa kuelekea kijijini kwao
Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa maziko, leo Aprili 15, 2014. Kulia ni
Mjane wa marehemu, Pili Binti Saidi Kitwana.
Sehemu ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehu wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akijumuika na waombolezaji katika msiba wa Maalim Muhidin Gurumo,
wakati alipofika nyumbani kwake Mabibo jijini Dar es Salaam, leo Aprili
15, 2014 kwa ajili ya kuaga kabla ya kusafirishwa kuelekea kijijini kwao
Masaki Wilaya ya Kisarawe kwa maziko.

Baadhi ya wasanii wakijumuika na waombolezaji nyumbani kwa marehemu Gurumo. Baadhi ya wasanii wakijumuika na waombolezaji nyumbani kwa marehemu Gurumo. Baadhi ya wasanii wakijumuika na waombolezaji nyumbani kwa marehemu Gurumo. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na waombolezaji wakati akiondoka nyumbani kwa marehemu Maalim
Muhidin Gurumo, baada ya kuaga mwili wa marehemu. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment