Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe Azungumza na Waandishi wa Habari , kuhusu Mafanikio ya Wizara kwa kipindi cha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa mwaka 1964 katika nyanja mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi, ushiriki wa Tanzania kwenye harakati za ukombozi na utatuzi wa migogoro Barani Afrika na Diplomasia ya Michezo .
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard K. Membe (Mb)
akizungumza na Waandishi wa Habari, kuhusu Mafanikio ya Wizara kwa
kipindi cha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa mwaka
1964 katika
nyanja mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi, ushiriki
wa Tanzania kwenye harakati za ukombozi na utatuzi wa migogoro Barani
Afrika na Diplomasia ya Michezo .
Waziri
Membe (Mb) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)
huku Naibu wake Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akisikiliza.
Mazungumzo yakiendelea.
No comments:
Post a Comment