Taarifa na Hotuba Kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa:Wizara ya Mambo ya Nje Kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,John Haule na Ubalozi wa China Nchini Kupitia Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania,Lu Youqing Wafanya Mkutano wa Pamoja na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John M.
Haule (kushoto) akiwa pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China
nchini Tanzania, Mhe. Lu Youqing wakati wa mkutano na
waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari maelezo
siku ya Jumanne tarehe 25 Machi, 2014. Mkutano huo ulizungumzia
maadhimisho ya miaka 50 ya ushirikiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania
na China na mafanikio ya ziara ya Rais wa China aliyoifanya nchini
ambayo imetimiza mwaka mmoja.
Kushoto ni Mkuu wa
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje, Bibi
Mindi Kasiga akisikiliza kwa makini hotuba zilizokuwa zikitolewa.
wengine ni maafisa wa Ubalozi China.
No comments:
Post a Comment