Header Ads

Kutoka Gazeti la Mwananchi LEO:Aliyekua Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba Warioba afunguka,atoa ufafanuzi wa baadhi ya hoja za taarifa yake


Aliyekua Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba
--
Dar es Salaam. Wakati Ikulu ikitangaza kwamba Rais Jakaya Kikwete amevunja Tume ya Mabadiliko ya Katiba, tume hiyo imetoa ufafanuzi wa baadhi ya maeneo ya Rasimu ya Katiba.


No comments:

Powered by Blogger.