Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe lamsingi
kuzindua ujenzi wa Maabara ya shule ya Sekondari Madago, wilaya ya
Korogwe jana mchana.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi Mkoani
Tanga(picha na Freddy Maro)
Rais Kikwete azindua ujenzi wa Maabara Sekondari ya Madago Korogwe
Reviewed by
crispaseve
on
12:18 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment