Rais Jakaya Kikweye Azindua Mradi wa Maji katika kijiji cha Kwemhosi wilayani Muheza Mkoa wa Tanga na Kuzindua na Kukagua Soko la Vyakula Michungwani wilayani Muheza

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akimtwisha ndoo ya maji Bibi Rukia Bakari muda mfupi baada ya kuzindua
mradi wa maji katika kijiji cha Kwemhosi wilayani Muheza Mkoa wa Tanga
Jana .Mradi huo utavinufaisha vijiji vinane katika wilaya hiyo yenye
uhaba
mkubwa wa maji

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria kufungua na kukagua
bidhaa Soko la Vyakula Michungwani wilayani Muheza jana


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akikagua na kuzungumza na wafanyabiashara katika soko la Vyakula
Michungwani Wilayani Muheza Mkoa wa Tanga jana .Rais Kikwete yupo katika
ziara ya kikazi mkoa wa Tanga.Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment