Picha Mbalimbali Kutoka Bunge Maalum la Katiba LEO Mjini Dodoma
Mjumbe wa Bunge Maalum, Evod Mmanda akifafanua
kanuni za bunge hilo leo mjini Dodoma.
|
Mjumbe wa Bunge Maalum Dk. Tulie Akson
akifafanua kanuni za bunge hilo leo mjini Dodoma.
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
Ally Iddi akijadiliana jambo na Waziri Mkuu Mizengo Pinda(kushoto)
wakati wa semina ya kuhusu kanuni za bunge hilo leo mjini Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment