Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kulihutubia Bunge Maalum la Katiba Siku ya ijumaa Machi 21 Mwaka 2014 Saa Kumi Jioni Mjini Dodoma.

Rais Jakaya Kikwete

Katibu wa Bunge Maalum la Katiba-Yahya Khamis Hamad
--
Rais
Jakaya Kikwete anatarajiwa kulihutubia Bunge Maalum la Katiba Machi 21, mwaka huu mjini
Dodoma.
Kauli
hiyo imetolewa leo na Katibu wa bunge hilo, Yahya Khamis Hamad wakati
akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa waandishi wa habari wa
ofisi za Bunge mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment