Picha Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu:Waziri Mkuu Mizego Pinda Ateta na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale-Mwiru,Akutana na Viongozi wa Kampuni ya Africana Barrick Gold Tanzania

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta
na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale-Mwiru, Bungeni
Mjini Dodoma Machi 25, 2014.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na Viongozi wa Kampuni ya Africana Barrick Gold Tanzania,
kwenye makazi yake mjini Dodoma Machi 25,2014. Kutoka kushoto ni
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Serikali (Director of Government
Relations)), Balozi Emmanuel Ole Naiko, Makamu wa Rais, Deo Mwanyika na
Ofisa Mtendaji Mkuu (Chief Executive Officer ), Brand Gordon.
No comments:
Post a Comment