JK AONGEA NA WANANCHI WILAYANI MUHEZA, AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI MKOA WA TANGA
![]() |
| Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mkutano wa hadhara mjini Muheza jana jioni. Rais Kikwete anatarajia kuhitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Tanga leo. Picha na Freddy Maro. |

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mtoto Hassan Mustafa(13)
mwenye tatizo la kudumaa muda mfupi baada ya Rais Kikwete kukagua na
kuzindua maabara katika shule ya sekondari ya Potwe, wilayani Muheza

No comments:
Post a Comment