Mjumbe
wa bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya kuandaa
rasimu ya kanuni zitakazotumika katika Bunge maalum la Katiba Bw. Prof.
Costa Mahalu akiwaeleza jambo wajumbe wa bunge hilo wakati wa semina ya
kuandaa kanuni zitazotumika katika bunge maalum la katiba, leo Mjini
Dodoma.
 |
| Mjumbe wa bunge Maalum la Katiba Bw. Augustino Mrema akimweleza jambo Mjumbe mwenzie Bw. Islaim Aden Rage leo Mjini Dodoma. |
 |
| Wajumbe
wa Bunge Maalumla Katiba na Wajumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya
kanuni zitakazotumika katika Bunge maalum la Katiba Bw. Prof. Costa
Mahalu (Kulia) na Tundu Lissu wakielekea katika ukumbi wa bunge kwa
ajili ya semina ya kuandaa kanuni zitazotumika katika bunge maalum la
katiba, leo Mjini Dodoma. |
 |
| Wajumbe
wa Bunge maalum la katiba Bw. Hamadi Rashidi (kushoto) Juma Alawi
(katikati) na Thumwein Thuwein wakielekea katika ukumbi wa bunge kwa
ajili ya semina ya kuandaa kanuni zitazotumika katika bunge maalum la
katiba, leo Mjini Dodoma. |
(PICHA NA HASSAN SILAYO- MAELEZO)
|
No comments:
Post a Comment